# Alisema Mungu akasema # Nitakuongeza zaidi Neno "ongeza" hapa linasimama kwa uzao. AT: "Nitakupa uzao mwingi' # Kile kilichoahidiwa Hii inaweza kusemwa katika muundo tendaji. AT: " Kile ambacho Mungu alimuahidi"