sw_tn/heb/06/13.md

12 lines
219 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Alisema
Mungu akasema
# Nitakuongeza zaidi
Neno "ongeza" hapa linasimama kwa uzao. AT: "Nitakupa uzao mwingi'
# Kile kilichoahidiwa
Hii inaweza kusemwa katika muundo tendaji. AT: " Kile ambacho Mungu alimuahidi"