sw_tn/heb/06/09.md

20 lines
539 B
Markdown

# tunashawishiwa
ingawa mwandishi anatumia nomino ya wingi "Tuna" mara nyingi anamaanisha yeye mwenyewe.
# ambo mazuri yawahusuyo
Hii inamaana kuwa wanafanya vizuri kuliko wale walio mkataa Mungu, wasiomtii yeye, na hawawezi tena kutubu ili kwamba awasamene.
# mambo yahusuyo wokovu
Nomino dhaaniwa "wokovu" inaweza kuwekwa kama kitenzi.
# Kwa kuwa Mungu si dhalimu hata asahau
Maneno haya yanamaanisha kuwa Mungu katika haki yake atakumbuka mambo mazuri ambayo watu wake wameyafanya.
# jina lake
"Jina" lake lina maanisha Mungu