sw_tn/heb/06/09.md

539 B

tunashawishiwa

ingawa mwandishi anatumia nomino ya wingi "Tuna" mara nyingi anamaanisha yeye mwenyewe.

ambo mazuri yawahusuyo

Hii inamaana kuwa wanafanya vizuri kuliko wale walio mkataa Mungu, wasiomtii yeye, na hawawezi tena kutubu ili kwamba awasamene.

mambo yahusuyo wokovu

Nomino dhaaniwa "wokovu" inaweza kuwekwa kama kitenzi.

Kwa kuwa Mungu si dhalimu hata asahau

Maneno haya yanamaanisha kuwa Mungu katika haki yake atakumbuka mambo mazuri ambayo watu wake wameyafanya.

jina lake

"Jina" lake lina maanisha Mungu