# tunashawishiwa ingawa mwandishi anatumia nomino ya wingi "Tuna" mara nyingi anamaanisha yeye mwenyewe. # ambo mazuri yawahusuyo Hii inamaana kuwa wanafanya vizuri kuliko wale walio mkataa Mungu, wasiomtii yeye, na hawawezi tena kutubu ili kwamba awasamene. # mambo yahusuyo wokovu Nomino dhaaniwa "wokovu" inaweza kuwekwa kama kitenzi. # Kwa kuwa Mungu si dhalimu hata asahau Maneno haya yanamaanisha kuwa Mungu katika haki yake atakumbuka mambo mazuri ambayo watu wake wameyafanya. # jina lake "Jina" lake lina maanisha Mungu