sw_tn/heb/06/07.md

810 B

ardhi iliyopokea mvua inyeshayo mara kwa mara juu yake

ardhi inufaikayo na mvua nyingi inaongelewa kana kwamba ni mtu aliyekunywa maji mengi ya mvua.

ikatoa mazao muhimu

Ardhi izaayo mazao inaongelewa kana kwamba iliwazalia.

kwa hao waliofanya kazi katika ardhi

Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "kwa wale kwa ajili yao mtu aliandaa ardhi"

ardhi hupokea baraka kutoka kwa Mungu

Mvua naa mazao vinaonekana kama ushahidi kama Mungu amemsaidia mkulima. Ardhi inaongelewa kana kwamba ni mtu ambaye angeweza kupokea baraka za Mungu.

ipo katika hatari ya kulaaniwa

Hii inaongelea "laana" kana kwamba ni ilikuwa ni sehemu ambayo mtu angeweza kukaribia. AT: "iko katika hatari ya Mungu kuilaani.

Mwisho wake ni kuteketezwa

Mungu atasababisha kila kitu katika shamba hilo kuteketea.