sw_tn/heb/06/07.md

24 lines
810 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# ardhi iliyopokea mvua inyeshayo mara kwa mara juu yake
ardhi inufaikayo na mvua nyingi inaongelewa kana kwamba ni mtu aliyekunywa maji mengi ya mvua.
# ikatoa mazao muhimu
Ardhi izaayo mazao inaongelewa kana kwamba iliwazalia.
# kwa hao waliofanya kazi katika ardhi
Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "kwa wale kwa ajili yao mtu aliandaa ardhi"
# ardhi hupokea baraka kutoka kwa Mungu
Mvua naa mazao vinaonekana kama ushahidi kama Mungu amemsaidia mkulima. Ardhi inaongelewa kana kwamba ni mtu ambaye angeweza kupokea baraka za Mungu.
# ipo katika hatari ya kulaaniwa
Hii inaongelea "laana" kana kwamba ni ilikuwa ni sehemu ambayo mtu angeweza kukaribia. AT: "iko katika hatari ya Mungu kuilaani.
# Mwisho wake ni kuteketezwa
Mungu atasababisha kila kitu katika shamba hilo kuteketea.