sw_tn/heb/05/07.md

24 lines
582 B
Markdown

# kipindi chake katika mwili
Neno siku/ kipindi zinasimama badala ya kipindi cha muda. Na "mwili" unasimama badala ya maisha ya Yesu duniani, AT: "wakati aliposhi duniani"
# maombi na kuombea/
Kimsingi maneno haya yanamaanisha kitu kimoja
# kumwokoa kutoka kwenye kifo
Kifo kinaongelewa kana kwamba ilikuwa ni sehemu kKristo angezuiliwa kutoingia, au kana kwamba ni sehemu ambayo angeokolewa.
# alisikiwa
Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "Mungu alimsikia"
# mwana
Hiki ni cheo muhimu kwa Yesu, Mwana wa Mungu.
# mambo yaliyomtesa
mateso kana kwamba ni vitu.