sw_tn/heb/05/07.md

582 B

kipindi chake katika mwili

Neno siku/ kipindi zinasimama badala ya kipindi cha muda. Na "mwili" unasimama badala ya maisha ya Yesu duniani, AT: "wakati aliposhi duniani"

maombi na kuombea/

Kimsingi maneno haya yanamaanisha kitu kimoja

kumwokoa kutoka kwenye kifo

Kifo kinaongelewa kana kwamba ilikuwa ni sehemu kKristo angezuiliwa kutoingia, au kana kwamba ni sehemu ambayo angeokolewa.

alisikiwa

Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "Mungu alimsikia"

mwana

Hiki ni cheo muhimu kwa Yesu, Mwana wa Mungu.

mambo yaliyomtesa

mateso kana kwamba ni vitu.