sw_tn/heb/05/04.md

612 B

Sentensi Unganishi:

Nukuu hii inatoka katika Zaburi katika Agano la Kale

achukuaye heshima hii

Heshima inaongelewa kana kwamba ni kitu ambacho Mungu kukichukua katika mkono wake.

achukue heshima hii

heshima au sifa na heshima ambazo watu walimpa kuhani mkuu husimama kwa ajili ya majukumu yake

aitwe/ ameitwa na Mungu, kama alivyokuwa Haruni

Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "Mungu alimwita kama alivyomwita Haruni"

Mungu alisema kwake

"Mungu alisema kwake"

" Wewe ni mwanangu, leo nimekuwa Baba yako."

kimsingi neno hili linamaanisha kitu kimoja. Tazama ulivyotafsiri 1:4.