# Sentensi Unganishi: Nukuu hii inatoka katika Zaburi katika Agano la Kale # achukuaye heshima hii Heshima inaongelewa kana kwamba ni kitu ambacho Mungu kukichukua katika mkono wake. # achukue heshima hii heshima au sifa na heshima ambazo watu walimpa kuhani mkuu husimama kwa ajili ya majukumu yake # aitwe/ ameitwa na Mungu, kama alivyokuwa Haruni Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "Mungu alimwita kama alivyomwita Haruni" # Mungu alisema kwake "Mungu alisema kwake" # " Wewe ni mwanangu, leo nimekuwa Baba yako." kimsingi neno hili linamaanisha kitu kimoja. Tazama ulivyotafsiri 1:4.