sw_tn/heb/05/04.md

24 lines
612 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi Unganishi:
Nukuu hii inatoka katika Zaburi katika Agano la Kale
# achukuaye heshima hii
Heshima inaongelewa kana kwamba ni kitu ambacho Mungu kukichukua katika mkono wake.
# achukue heshima hii
heshima au sifa na heshima ambazo watu walimpa kuhani mkuu husimama kwa ajili ya majukumu yake
# aitwe/ ameitwa na Mungu, kama alivyokuwa Haruni
Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "Mungu alimwita kama alivyomwita Haruni"
# Mungu alisema kwake
"Mungu alisema kwake"
# " Wewe ni mwanangu, leo nimekuwa Baba yako."
kimsingi neno hili linamaanisha kitu kimoja. Tazama ulivyotafsiri 1:4.