sw_tn/heb/04/14.md

36 lines
1.1 KiB
Markdown

# aliyeziingia mbingu
"aliyeingia mahali alipo Mungu"
# Mwana wa Mungu
Hiki ni cheo muhimu kwa Yesu.
# tushikilie sana imani zetu
imani na tumaini vinaongelewa kana kwamba ni vitu ambavyo mtu angeweza kuvikumbatia.
# hatuna kuhani mkuu ambaye hawezi kutuhurumia... Badala, tunaye
Maneno haya yakukanusha yanalenga kuonyesha kwamba Yesu ni mwenye huruma kwa watu . AT: " tunaye kuhani mkuu anayeweza kutuhurumia...Kweli tunaye"
# kiti cha enzi cha neema
"kiti cha enzi cha Mungu, pale palipo na neema" au "pale Mungu, ambaye ni neema, ameketi katika kiti chake cha enzi"
# yeye ambaye kwa njia zote amekuwa akijaribiwa kama sisi
Hii inaweza kusemwa katikamfumo tendaji. AT: "yeye ambaye amevumilia majaribu katika kila hali tunayoipitia" au "ambaye movu amekuwa akimjaribu katika kila njia anavyotujaribu"
# hana dhambi
"hakutenda dhambi"
# kiti cha enzi cha neema
"kwemye kiti cha enzi cha Mungu palipo na neema." "kiti cha enzi" hapa kina maanisha utawala wa Mungu kama mfalme.
# ili kwamba tupokee rehema na kupata neema ya kutusaidia wakati wa hitaji.
"rehema" na "neema" hapa vinaongelewa kana kwamba ni vitu ambavyo vinaweza kupewa au kupatikana.