sw_tn/heb/04/03.md

36 lines
1.1 KiB
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Nukuu ya kwanza hapa (Kama nilivyoapa...) inatoka katika Zaburi, na nukuu ya pili (Mungu akapumzika...) inatoka katika Maandiko ya Musa, na ya tatu (Hawataingia...) inatoka katika Zaburi.
# Sisi tulioamini
"sisi tulioamini"
# watakao ingia katika pumziko hilo
Amani na ulinzi alioutoa Mungu vinaongelewa kana kwamba vilikuwa ni pumziko ambazo anaweza kuwapa, na kana kwamba ilikuwa ni sehemu ambayo watu wangeenda.
# Kama alivyo sema
"Kama vile Mungu alivyosema"
# Kama nilivyo apa katika hasira yangu
"Kama nilivyo apa wakati nilipokuwa nimekasirika sana"
# Hawataingia kwenye pumziko langu
Amani na ulinzi uliotolewa na Mungu vinaongelwa kana kwamba zilikuwa pumziko la kuwapa, na kana kwamba vilikuwa ni sehemu ambayo watu wangeweza kwenda.
# kazi yake ya uumbaji ilimalizika
Hii inaweza kuwekwa katika mfumo tendaji. AT: "alimaliza uumbaji" au "alimaliza kazi zake za uumbaji"
# tangu mwanzo wa dunia/ ulimwengu
Mwandishi anaongelea dunia kana kwamba ni jengo lililowekwa kwenye kwenye msingi.
# siku ya saba
Hii inasimama kama badala ya "saba"