sw_tn/heb/04/03.md

1.1 KiB

Maelezo ya Jumla:

Nukuu ya kwanza hapa (Kama nilivyoapa...) inatoka katika Zaburi, na nukuu ya pili (Mungu akapumzika...) inatoka katika Maandiko ya Musa, na ya tatu (Hawataingia...) inatoka katika Zaburi.

Sisi tulioamini

"sisi tulioamini"

watakao ingia katika pumziko hilo

Amani na ulinzi alioutoa Mungu vinaongelewa kana kwamba vilikuwa ni pumziko ambazo anaweza kuwapa, na kana kwamba ilikuwa ni sehemu ambayo watu wangeenda.

Kama alivyo sema

"Kama vile Mungu alivyosema"

Kama nilivyo apa katika hasira yangu

"Kama nilivyo apa wakati nilipokuwa nimekasirika sana"

Hawataingia kwenye pumziko langu

Amani na ulinzi uliotolewa na Mungu vinaongelwa kana kwamba zilikuwa pumziko la kuwapa, na kana kwamba vilikuwa ni sehemu ambayo watu wangeweza kwenda.

kazi yake ya uumbaji ilimalizika

Hii inaweza kuwekwa katika mfumo tendaji. AT: "alimaliza uumbaji" au "alimaliza kazi zake za uumbaji"

tangu mwanzo wa dunia/ ulimwengu

Mwandishi anaongelea dunia kana kwamba ni jengo lililowekwa kwenye kwenye msingi.

siku ya saba

Hii inasimama kama badala ya "saba"