sw_tn/heb/03/09.md

915 B

Maelezo ya Jumla:

Nukuu hii inatoka katika Zaburi.

Mababa

"zenu" hapa linamaanisha watu wa Israeli

kwa kunijaribu

Mungu ndiye anayeongea

miaka arobaini

"miaka 40"

Sikufurahishwa

"Nilikuwa na hasira" au "sikufurahia kabisa"

mara zote wanapotoshwa katika mioyo yao

Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "mara zote wanaenda katika njia zisizomfurahisha Mungu"

mioyoni mwao

Neno "mioyo" inamaanisha akili au tamaa za

Wamevijua njia zangu

Hii inaongelewa katika hali ya kuyafanya maisha ya mtu kana kwamba ni zilikuwa ni njia. AT: "Hawaelewi jinsi nilivyowataka waishi katika maisha yao"

Hawataingia katika pumziko langu

Amani na ulinzi uliotolewa na Mungu unaongelewa kana kwamba zilikuwa pumziko ambalo angeweza kuwapa, na kama zilikuwa ni sehemu ambayo watu wangeweza kwenda. AT: "Hawataingia kamwe katika sehemu ya pumziko" au "sitawaruhusu kupata baraka zangu za pumziko"