# Maelezo ya Jumla: Nukuu hii inatoka katika Zaburi. # Mababa "zenu" hapa linamaanisha watu wa Israeli # kwa kunijaribu Mungu ndiye anayeongea # miaka arobaini "miaka 40" # Sikufurahishwa "Nilikuwa na hasira" au "sikufurahia kabisa" # mara zote wanapotoshwa katika mioyo yao Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "mara zote wanaenda katika njia zisizomfurahisha Mungu" # mioyoni mwao Neno "mioyo" inamaanisha akili au tamaa za # Wamevijua njia zangu Hii inaongelewa katika hali ya kuyafanya maisha ya mtu kana kwamba ni zilikuwa ni njia. AT: "Hawaelewi jinsi nilivyowataka waishi katika maisha yao" # Hawataingia katika pumziko langu Amani na ulinzi uliotolewa na Mungu unaongelewa kana kwamba zilikuwa pumziko ambalo angeweza kuwapa, na kama zilikuwa ni sehemu ambayo watu wangeweza kwenda. AT: "Hawataingia kamwe katika sehemu ya pumziko" au "sitawaruhusu kupata baraka zangu za pumziko"