sw_tn/heb/03/09.md

36 lines
915 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Nukuu hii inatoka katika Zaburi.
# Mababa
"zenu" hapa linamaanisha watu wa Israeli
# kwa kunijaribu
Mungu ndiye anayeongea
# miaka arobaini
"miaka 40"
# Sikufurahishwa
"Nilikuwa na hasira" au "sikufurahia kabisa"
# mara zote wanapotoshwa katika mioyo yao
Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "mara zote wanaenda katika njia zisizomfurahisha Mungu"
# mioyoni mwao
Neno "mioyo" inamaanisha akili au tamaa za
# Wamevijua njia zangu
Hii inaongelewa katika hali ya kuyafanya maisha ya mtu kana kwamba ni zilikuwa ni njia. AT: "Hawaelewi jinsi nilivyowataka waishi katika maisha yao"
# Hawataingia katika pumziko langu
Amani na ulinzi uliotolewa na Mungu unaongelewa kana kwamba zilikuwa pumziko ambalo angeweza kuwapa, na kama zilikuwa ni sehemu ambayo watu wangeweza kwenda. AT: "Hawataingia kamwe katika sehemu ya pumziko" au "sitawaruhusu kupata baraka zangu za pumziko"