sw_tn/heb/03/05.md

32 lines
1.1 KiB
Markdown

# Hakika/ na
Hili neno linaanzishwa ulinganifu kati ya Musa na Kristo. Hili neno linaweza kuachwa katika tafsiri, kama sio muhimu.
# Katika nyumba nzima ya Mungu
Waebrania ambao Mungu alijifunua mwenyewe wanaongelewa kana kwamba zilikuwa ni nyumba halisi. Tazama vile ulivyo tafasiri kama ulivyofanya 3:1.
# Alikuwa ni ushuhuda kuhusu vitu
Pengine neno hili linamaanisha kwa kazi zote za Musa. AT: "Maisha na kazi za Musa zilielekeza kwenye vitu"
# Viliongelewa katika wakati ujao
Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: " Yesu angesema katika siku zijazo"
# Mwana
Hiki ni cheo muhimu kwa Yesu, Mwana wa Mungu.
# mtumishi katika nyumba ya Mungu
Hii inaongea kuhusu watu wa Mungu kana kwamba zilikuwa nyumba halisi. AT: "ambaye anatawala juu ya watu wa Mungu"
# Sisi ni nyumba yake
Hii inaongea kwa watu wa Mungu kana kwamba ni nyumba halisi. AT: "Sisi ni watu wa Mungu"
# kama tukiendelea kushikilia "ujasiri" wetu na tumaini letu lenye fahari
"ujasiri" na "tumaini lenye fahari" ni dhaaniwa na inaweza kusemwa kama vitenzi. AT: "tutaendelea katika ujasiri na furaha na kutumaini Mungu kufanya kile alichoahidi"