sw_tn/heb/03/05.md

1.1 KiB

Hakika/ na

Hili neno linaanzishwa ulinganifu kati ya Musa na Kristo. Hili neno linaweza kuachwa katika tafsiri, kama sio muhimu.

Katika nyumba nzima ya Mungu

Waebrania ambao Mungu alijifunua mwenyewe wanaongelewa kana kwamba zilikuwa ni nyumba halisi. Tazama vile ulivyo tafasiri kama ulivyofanya 3:1.

Alikuwa ni ushuhuda kuhusu vitu

Pengine neno hili linamaanisha kwa kazi zote za Musa. AT: "Maisha na kazi za Musa zilielekeza kwenye vitu"

Viliongelewa katika wakati ujao

Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: " Yesu angesema katika siku zijazo"

Mwana

Hiki ni cheo muhimu kwa Yesu, Mwana wa Mungu.

mtumishi katika nyumba ya Mungu

Hii inaongea kuhusu watu wa Mungu kana kwamba zilikuwa nyumba halisi. AT: "ambaye anatawala juu ya watu wa Mungu"

Sisi ni nyumba yake

Hii inaongea kwa watu wa Mungu kana kwamba ni nyumba halisi. AT: "Sisi ni watu wa Mungu"

kama tukiendelea kushikilia "ujasiri" wetu na tumaini letu lenye fahari

"ujasiri" na "tumaini lenye fahari" ni dhaaniwa na inaweza kusemwa kama vitenzi. AT: "tutaendelea katika ujasiri na furaha na kutumaini Mungu kufanya kile alichoahidi"