# Hakika/ na Hili neno linaanzishwa ulinganifu kati ya Musa na Kristo. Hili neno linaweza kuachwa katika tafsiri, kama sio muhimu. # Katika nyumba nzima ya Mungu Waebrania ambao Mungu alijifunua mwenyewe wanaongelewa kana kwamba zilikuwa ni nyumba halisi. Tazama vile ulivyo tafasiri kama ulivyofanya 3:1. # Alikuwa ni ushuhuda kuhusu vitu Pengine neno hili linamaanisha kwa kazi zote za Musa. AT: "Maisha na kazi za Musa zilielekeza kwenye vitu" # Viliongelewa katika wakati ujao Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: " Yesu angesema katika siku zijazo" # Mwana Hiki ni cheo muhimu kwa Yesu, Mwana wa Mungu. # mtumishi katika nyumba ya Mungu Hii inaongea kuhusu watu wa Mungu kana kwamba zilikuwa nyumba halisi. AT: "ambaye anatawala juu ya watu wa Mungu" # Sisi ni nyumba yake Hii inaongea kwa watu wa Mungu kana kwamba ni nyumba halisi. AT: "Sisi ni watu wa Mungu" # kama tukiendelea kushikilia "ujasiri" wetu na tumaini letu lenye fahari "ujasiri" na "tumaini lenye fahari" ni dhaaniwa na inaweza kusemwa kama vitenzi. AT: "tutaendelea katika ujasiri na furaha na kutumaini Mungu kufanya kile alichoahidi"