sw_tn/heb/02/05.md

1.0 KiB

Sentensi Unganishi:

Mwandishi anawakumbusha Waebrania hawa kwamba siku moja nchi itakuwa chini ya utawala wa Bwana Yesu.

Maelezo ya Jumla:

Nukuu hapa inatoka katika kitabu cha Zaburi katika Agano la Kale. Inaendele hadi sehemu inayofuata.

Kwa sababu kama haikuwa kwa malaika ambao Mungu aliwaweka

"Kwa kuwa Mungu hakuwaweka malaika kuwa watawala"

Ulimwengu ujao

"Ulimwengu" hapa unamaanisha kwa watu wanaoishi huko. Na "ujao" unamaanishi huu ni ulimwengu uajao baada ya Yesu atakaporudi. AT: "watu watakaoishi katika ulimwengu wa mpya"

Mtuni nani, kwamba uweze kumkumbuka/ kumjali?

Swali linatumika kusisitiza kuwa wanadamu sio muhimu kwa kumfanya Mungu kuwajal.AT: "Hakuna mwandamu ambaye ni wa Muhimu wa kumfanya Mungu kufikiri kuhusu yeye!"

Au mwana wa mtu , kwamba umjali?

Kimsingi hii inamaanisha kitu kilekile kinachoelezewa katika swali la kwanza. Swali lisilo hitaji kujibiwa linasisitiza mshangao kwamba wanadamu si wa muhimu kiasi cha kwamba Mungu awajalli.AT: "Hakuna mwanadamu anayesitahili kujaliwa na wewe!"