# Sentensi Unganishi: Mwandishi anawakumbusha Waebrania hawa kwamba siku moja nchi itakuwa chini ya utawala wa Bwana Yesu. # Maelezo ya Jumla: Nukuu hapa inatoka katika kitabu cha Zaburi katika Agano la Kale. Inaendele hadi sehemu inayofuata. # Kwa sababu kama haikuwa kwa malaika ambao Mungu aliwaweka "Kwa kuwa Mungu hakuwaweka malaika kuwa watawala" # Ulimwengu ujao "Ulimwengu" hapa unamaanisha kwa watu wanaoishi huko. Na "ujao" unamaanishi huu ni ulimwengu uajao baada ya Yesu atakaporudi. AT: "watu watakaoishi katika ulimwengu wa mpya" # Mtuni nani, kwamba uweze kumkumbuka/ kumjali? Swali linatumika kusisitiza kuwa wanadamu sio muhimu kwa kumfanya Mungu kuwajal.AT: "Hakuna mwandamu ambaye ni wa Muhimu wa kumfanya Mungu kufikiri kuhusu yeye!" # Au mwana wa mtu , kwamba umjali? Kimsingi hii inamaanisha kitu kilekile kinachoelezewa katika swali la kwanza. Swali lisilo hitaji kujibiwa linasisitiza mshangao kwamba wanadamu si wa muhimu kiasi cha kwamba Mungu awajalli.AT: "Hakuna mwanadamu anayesitahili kujaliwa na wewe!"