sw_tn/heb/02/01.md

12 lines
393 B
Markdown

# Sentensi Unganishi:
Hili ni onyo la kwanza kati ya maonyo matano mwandishi anatoa
# Ni lazima
Hapa "sisi"inamaanisha mwandishi anajijumuisha kwenye kundi lake.
# ili kwamba tukatengwa/ kuchukuliwa mbali
kuamini katika neno la Mungu kidogo huongelewa kana kwamba mtumbwi ulikuwa ukichukuliwa mbali juu ya maji kutoka mahali ulipaswa kuwa. AT: " ili kwamba polepole tusiache kuliamini."