# Sentensi Unganishi: Hili ni onyo la kwanza kati ya maonyo matano mwandishi anatoa # Ni lazima Hapa "sisi"inamaanisha mwandishi anajijumuisha kwenye kundi lake. # ili kwamba tukatengwa/ kuchukuliwa mbali kuamini katika neno la Mungu kidogo huongelewa kana kwamba mtumbwi ulikuwa ukichukuliwa mbali juu ya maji kutoka mahali ulipaswa kuwa. AT: " ili kwamba polepole tusiache kuliamini."