sw_tn/heb/02/01.md

393 B

Sentensi Unganishi:

Hili ni onyo la kwanza kati ya maonyo matano mwandishi anatoa

Ni lazima

Hapa "sisi"inamaanisha mwandishi anajijumuisha kwenye kundi lake.

ili kwamba tukatengwa/ kuchukuliwa mbali

kuamini katika neno la Mungu kidogo huongelewa kana kwamba mtumbwi ulikuwa ukichukuliwa mbali juu ya maji kutoka mahali ulipaswa kuwa. AT: " ili kwamba polepole tusiache kuliamini."