sw_tn/heb/01/13.md

1.0 KiB

Maelezo ya Jumla

Nukuu hii inatoka katika Zaburi nyingine.

Lakini ni malaika gani wakati wowote Mungu amesema...miguu?

Mwandishi anatumia swali kusisitiza kwamba Mungu hajawahi kumwambia malaika. AT: '"Lakini Mungu hajamwambia malaika yeeyote wakati wowote"'

Keti mkono wangu wa kulia

Hapa mkono wa kulia unamaanisha sehemu ya heshima. AT: "Kaa karibu yangu katika sehemu ya heshima"

Hadi nitakapo waweka maadui wako chini ya miguu yako

Maadui wa Kristo wanaongelewa kana kwamba watakuwa chombo ambachomfalme anaweka miguu yake, Picha hii inawakilisha kushindwa na aibu kwa maadui wake.

Sio malaika wote ni roho... wanarithi wokovu

Mwandishi anatumia hili swali kuwakumbusah wasomaji wake kwamba malaika hawana nguvu kama Kristo, lakini wana jukumu tofauti. AT: "malakia wote ni roho ambazo... hurithi wokovu."

kwa wale watakaorithi wokovu

Kupokea kile ambacho Mungu amewaahidi waumini imeongelewa kana kwamba wanarithi utajiri na mali kutoka katika mwana familia. AT: "kwa ajili ya wale wote ambao Mungu atawaokoa"