sw_tn/heb/01/10.md

1.1 KiB

Sentensi Unganishi:

Mwanadishi anaendelea kufanua kwamba Yesu ni mkuu kwa malaika.

Maelezo ya Jumla:

Nukuu hii inatoka katika Zaburi.

Hapo mwanzo

"Kabla ya kitu chochote hakijakiwapo"

uliweka misingi ya nchi

Mwandishi anaongea Mungu kuumba dunia kana kwamba anajenga juu ya msingi. AT: " uliumba dunia"

Mbingu ni kazi za mikono yako

Hapa "mikono" inamaanisha nguvu na matendo ya Mungu.AT: "uliziumba mbingu"

Zitaharibika

"Mbingu na nchi zitapotea" au " mbingu na nchi hazitakuwepo tena"

zitachakaa kama kipande cha nguo

Mwandishi anaongea juu mbingu na nchi kama ilikuwa ni kipande cha vazi ambayo itazeeka na mwishowe na kutofaa.

atazianua kama vazi

Mwandishi anaongea kana kwamba mbingu na na nchi ni nguo au aina nyingine ya vazi.

Vitabadilishwa kama kipande cha nguo

Mwandishi anaongea juu ya mbingu na na nchi kana kwamba ni nguo ambazo zinaweza kubadlishwa

zitabadilishwa

Hii inaweza kusema katika muundo tendaji. AT: "utazibadilisha"

Miaka yako haina mwisho

Vipindi vya nyakati vinatumika kuwakilisha Uwepo wa Mungu wa milele.AT: "maisha yako hayatakuwa na mwisho"