sw_tn/heb/01/10.md

44 lines
1.1 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi Unganishi:
Mwanadishi anaendelea kufanua kwamba Yesu ni mkuu kwa malaika.
# Maelezo ya Jumla:
Nukuu hii inatoka katika Zaburi.
# Hapo mwanzo
"Kabla ya kitu chochote hakijakiwapo"
# uliweka misingi ya nchi
Mwandishi anaongea Mungu kuumba dunia kana kwamba anajenga juu ya msingi. AT: " uliumba dunia"
# Mbingu ni kazi za mikono yako
Hapa "mikono" inamaanisha nguvu na matendo ya Mungu.AT: "uliziumba mbingu"
# Zitaharibika
"Mbingu na nchi zitapotea" au " mbingu na nchi hazitakuwepo tena"
# zitachakaa kama kipande cha nguo
Mwandishi anaongea juu mbingu na nchi kama ilikuwa ni kipande cha vazi ambayo itazeeka na mwishowe na kutofaa.
# atazianua kama vazi
Mwandishi anaongea kana kwamba mbingu na na nchi ni nguo au aina nyingine ya vazi.
# Vitabadilishwa kama kipande cha nguo
Mwandishi anaongea juu ya mbingu na na nchi kana kwamba ni nguo ambazo zinaweza kubadlishwa
# zitabadilishwa
Hii inaweza kusema katika muundo tendaji. AT: "utazibadilisha"
# Miaka yako haina mwisho
Vipindi vya nyakati vinatumika kuwakilisha Uwepo wa Mungu wa milele.AT: "maisha yako hayatakuwa na mwisho"