# Sentensi Unganishi: Mwanadishi anaendelea kufanua kwamba Yesu ni mkuu kwa malaika. # Maelezo ya Jumla: Nukuu hii inatoka katika Zaburi. # Hapo mwanzo "Kabla ya kitu chochote hakijakiwapo" # uliweka misingi ya nchi Mwandishi anaongea Mungu kuumba dunia kana kwamba anajenga juu ya msingi. AT: " uliumba dunia" # Mbingu ni kazi za mikono yako Hapa "mikono" inamaanisha nguvu na matendo ya Mungu.AT: "uliziumba mbingu" # Zitaharibika "Mbingu na nchi zitapotea" au " mbingu na nchi hazitakuwepo tena" # zitachakaa kama kipande cha nguo Mwandishi anaongea juu mbingu na nchi kama ilikuwa ni kipande cha vazi ambayo itazeeka na mwishowe na kutofaa. # atazianua kama vazi Mwandishi anaongea kana kwamba mbingu na na nchi ni nguo au aina nyingine ya vazi. # Vitabadilishwa kama kipande cha nguo Mwandishi anaongea juu ya mbingu na na nchi kana kwamba ni nguo ambazo zinaweza kubadlishwa # zitabadilishwa Hii inaweza kusema katika muundo tendaji. AT: "utazibadilisha" # Miaka yako haina mwisho Vipindi vya nyakati vinatumika kuwakilisha Uwepo wa Mungu wa milele.AT: "maisha yako hayatakuwa na mwisho"