sw_tn/heb/01/08.md

671 B

Maelezo ya Jumla:

Nukuu hii ya andiko inatoka katika kitabu cha Zaburi

Kuhusu Mwana anasema,

"Lakini Mungu asema hivi kuhusu Mwana"

Mwana

Hiki ni cheo muhimu kwa Yesu, Mwana wa Mungu.

Kiti chako cha enzi, Mungu ni cha milele

Kiti cha enzi kinawakilisha utawala. AT: " Wewe ni Mungun na utawala wako utadumu milele"

fimbo yako ya ufalme ni ya haki

Fimbo yautawala inamaanisha utawala wa Mwana. AT: "Na utatawala juu ya watu katika ufalme wako kwa haki"

amekupaka mafuta ya furaha zaidi ya wenzako

Hapa "mafuta ya furaha" inamaanisha furaha aliyokuwa nayo wakati Mungu alipo muheshimu. AT:"amekuheshimu na amekufanya kuwa na furaha zaidi ya yeyote.