# Maelezo ya Jumla: Nukuu hii ya andiko inatoka katika kitabu cha Zaburi # Kuhusu Mwana anasema, "Lakini Mungu asema hivi kuhusu Mwana" # Mwana Hiki ni cheo muhimu kwa Yesu, Mwana wa Mungu. # Kiti chako cha enzi, Mungu ni cha milele Kiti cha enzi kinawakilisha utawala. AT: " Wewe ni Mungun na utawala wako utadumu milele" # fimbo yako ya ufalme ni ya haki Fimbo yautawala inamaanisha utawala wa Mwana. AT: "Na utatawala juu ya watu katika ufalme wako kwa haki" # amekupaka mafuta ya furaha zaidi ya wenzako Hapa "mafuta ya furaha" inamaanisha furaha aliyokuwa nayo wakati Mungu alipo muheshimu. AT:"amekuheshimu na amekufanya kuwa na furaha zaidi ya yeyote.