sw_tn/heb/01/08.md

24 lines
671 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Nukuu hii ya andiko inatoka katika kitabu cha Zaburi
# Kuhusu Mwana anasema,
"Lakini Mungu asema hivi kuhusu Mwana"
# Mwana
Hiki ni cheo muhimu kwa Yesu, Mwana wa Mungu.
# Kiti chako cha enzi, Mungu ni cha milele
Kiti cha enzi kinawakilisha utawala. AT: " Wewe ni Mungun na utawala wako utadumu milele"
# fimbo yako ya ufalme ni ya haki
Fimbo yautawala inamaanisha utawala wa Mwana. AT: "Na utatawala juu ya watu katika ufalme wako kwa haki"
# amekupaka mafuta ya furaha zaidi ya wenzako
Hapa "mafuta ya furaha" inamaanisha furaha aliyokuwa nayo wakati Mungu alipo muheshimu. AT:"amekuheshimu na amekufanya kuwa na furaha zaidi ya yeyote.