sw_tn/hag/02/20.md

28 lines
445 B
Markdown

# Haghai... Zerubabel
Haya ni majina ya wanaume.
# siku ya ishirini na nne ya mwezi
siku ya nee ya mwezi "Katika siku ya ishirini na nne mwezi wa tisa
# nitatikisa mbingu na nchi
Bwana atasabisha usumbufu katika nchi yao.
# mbingu na nchi
"ulimwengu wote"
# nitakiangusha kiti cha wafalme
Serikali zitaangushwa kwenye machafuko.
# Kiti cha kifalme
"serikali zilizoongozwa na wafalme"
# upanga wa ndugu
"Upanga wa askari mwenzake"