# Haghai... Zerubabel Haya ni majina ya wanaume. # siku ya ishirini na nne ya mwezi siku ya nee ya mwezi "Katika siku ya ishirini na nne mwezi wa tisa # nitatikisa mbingu na nchi Bwana atasabisha usumbufu katika nchi yao. # mbingu na nchi "ulimwengu wote" # nitakiangusha kiti cha wafalme Serikali zitaangushwa kwenye machafuko. # Kiti cha kifalme "serikali zilizoongozwa na wafalme" # upanga wa ndugu "Upanga wa askari mwenzake"