sw_tn/hag/02/20.md

445 B

Haghai... Zerubabel

Haya ni majina ya wanaume.

siku ya ishirini na nne ya mwezi

siku ya nee ya mwezi "Katika siku ya ishirini na nne mwezi wa tisa

nitatikisa mbingu na nchi

Bwana atasabisha usumbufu katika nchi yao.

mbingu na nchi

"ulimwengu wote"

nitakiangusha kiti cha wafalme

Serikali zitaangushwa kwenye machafuko.

Kiti cha kifalme

"serikali zilizoongozwa na wafalme"

upanga wa ndugu

"Upanga wa askari mwenzake"