sw_tn/hab/03/14.md

20 lines
402 B
Markdown

# Taarifa Kwa Ujumla:
Habakuki anamfafanua Yahwe kuwaharibu Wakaldayo.
# Wanakuja sawa na tufani
Nguvu na uharaka wa Wakaldayo walivyowashambulia Israeli unalinganishwa na ujio wa ghafla wa tufani.
# Kuchekelea/cheka
"kujigamba"
# teketeza maskini katika mahali palipo fichika
tafuta watu maskini ambao wamejificha na huwaua na kuchukua mali zao zote
# teketeza/meza
hula kila kitu kwa haraka