# Taarifa Kwa Ujumla: Habakuki anamfafanua Yahwe kuwaharibu Wakaldayo. # Wanakuja sawa na tufani Nguvu na uharaka wa Wakaldayo walivyowashambulia Israeli unalinganishwa na ujio wa ghafla wa tufani. # Kuchekelea/cheka "kujigamba" # teketeza maskini katika mahali palipo fichika tafuta watu maskini ambao wamejificha na huwaua na kuchukua mali zao zote # teketeza/meza hula kila kitu kwa haraka