sw_tn/hab/03/09.md

16 lines
388 B
Markdown

# Sela
Neno hili linamaanisha "simama na akisi" au "inua juu, inua"
# Milima ilikuona wewe na ikatikisika kwa maumivu
Kama Mungu aliigawa nchi, milima ilihama, kama vile ingeliona matendo ya Mungu na kudhihirisha kwa kugeuka kutoka pale ilipogawanyika nchi.
# kina cha bahari kilipaza sauti
sauti ya mawimbi makubwa ya bahari
# iliinua juu mawimbi yake
kiwango cha maji kinaiinuka