# Sela Neno hili linamaanisha "simama na akisi" au "inua juu, inua" # Milima ilikuona wewe na ikatikisika kwa maumivu Kama Mungu aliigawa nchi, milima ilihama, kama vile ingeliona matendo ya Mungu na kudhihirisha kwa kugeuka kutoka pale ilipogawanyika nchi. # kina cha bahari kilipaza sauti sauti ya mawimbi makubwa ya bahari # iliinua juu mawimbi yake kiwango cha maji kinaiinuka