sw_tn/hab/01/05.md

32 lines
656 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla:
Yahwe anajibu maombi ya Habakuki.
# Angalia mataifa na uyachunguze
"Jifunze mambo yanayoendelea katika mataifa mengine"
# upana wa nchi
Hii inaweza kuwa namaana 1) kila mahali katika Yuda au 2) kila mahali duniani
# nyang'anya
chukua kwa nguvu au iba kutoka kwa mmiliki halali
# masikani
"nyumba"
# wao ... wao ... wao wenyewe
Maaskari Wakaldayo. Mungu atainua taifa la Wakaldayo, na maaskari Wakaldayo watavamia Uyahudi.
# Wanatisha na kuogofya
Maneno "kutisha" na "ogofya" kimsingi yanamaana kitu kile kile na kusisitiza kwamba kuwafanya wengine waogope sana, NI: "Wanawafanya wengine waogope sana."
# endelea
"kuja"