# Taarifa kwa ujumla: Yahwe anajibu maombi ya Habakuki. # Angalia mataifa na uyachunguze "Jifunze mambo yanayoendelea katika mataifa mengine" # upana wa nchi Hii inaweza kuwa namaana 1) kila mahali katika Yuda au 2) kila mahali duniani # nyang'anya chukua kwa nguvu au iba kutoka kwa mmiliki halali # masikani "nyumba" # wao ... wao ... wao wenyewe Maaskari Wakaldayo. Mungu atainua taifa la Wakaldayo, na maaskari Wakaldayo watavamia Uyahudi. # Wanatisha na kuogofya Maneno "kutisha" na "ogofya" kimsingi yanamaana kitu kile kile na kusisitiza kwamba kuwafanya wengine waogope sana, NI: "Wanawafanya wengine waogope sana." # endelea "kuja"