sw_tn/gen/49/31.md

28 lines
647 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Yakobo anaendelea kuzungumza na wanawe.
# lililomo lilinunuliwa
Ununuzi unaweza kuwekwa wazi. "ndani mwake ulinunuliwa na Abrahamu"
# kutoka kwa watu wa Hethi
"kutoka kwa Wahiti"
# alipomaliza maagizo hayo kwa wanawe
"alimaliza kuwaagiza wanawe" au "alimaliza kuwaamuru wanawe"
# akaiweka miguu yake kitandani
Yakobo alikuwa amekaa juu ya kitanda. Sasa, Yakobo anageuka na kuweka miguu yake kitandani ili aweze kulala chini.
# akavuta pumzi ya mwisho
Hii ni njia ya upole ya kusema mtu amekufa.
# akawaendea watu wake
Baada ya Yakobo kufa, nafsi yake ilikwenda sehemu ile ile kama ndugu zake waliokufa kabla yake.