sw_tn/gen/49/22.md

12 lines
378 B
Markdown

# Yusufu ni tawi lizaalo
Hapa "Yusufu" ni lugha nyingine yenye maana ya uzao wake. Yakobo anazungumzia uzao kana kwamba walikuwa shina la mti lizaalo matunda mengi. Hii inasisitiza ya kwamba wataongezeka sana kwa idadi.
# tawi
shina kuu la mti
# ambaye matawi yake yako juu wa ukuta
Shina ambalo litakuwa na kusambaajuu ya ukuta inazungumziwa kana kwamba ilikuwa inapanda.