sw_tn/gen/48/08.md

16 lines
320 B
Markdown

# Ni nani hawa?
"Hawa ni watoto wa nani?"
# niwabariki
Baba huwa anatamka baraka rasmi juu ya watoto au wajukuu wake.
# Basi macho ya Israeli ... hakuweza kuona
Neno "Basi" linatumika hapa kuweka alama ya badiliko kutoka kwenye simulizi kwenda kwa taarifa ya nyuma kuhusu Israeli.
# akawabusu
"Israeli aliwabusu"