# Ni nani hawa? "Hawa ni watoto wa nani?" # niwabariki Baba huwa anatamka baraka rasmi juu ya watoto au wajukuu wake. # Basi macho ya Israeli ... hakuweza kuona Neno "Basi" linatumika hapa kuweka alama ya badiliko kutoka kwenye simulizi kwenda kwa taarifa ya nyuma kuhusu Israeli. # akawabusu "Israeli aliwabusu"