sw_tn/gen/46/28.md

24 lines
805 B
Markdown

# kuonesha njia mbele yake kwenda Gosheni
"kuwaonyesha njia ya kuelekea Gosheni"
# Yusufu akaandaa kibandawazi chake na akaenda
Hapa "Yusufu" ina maana ya watumishi wake. "Watumishi wa Yusufu waliaanda kibandawazi chake na Yusufu akenda juu"
# akaenda kukutana na baba yake Israeli
Msemo wa "kwenda juu" unatumika kwa sababu Yusufu anasafiri kwenye kwenye mwinuko kukutana na baba yake" "akaenda kukutana na baba yake"
# akaikumbatia shingo yake, na akalia shingoni mwake kwa muda mrefu
"akaweka mikono yake kumzunguka baba yake, na kulia kwa muda mrefu"
# Basi na nife sasa
"Sasa nipo tayari kufa" au "Sasa nitakufa na furaha"
# kwa kuwa nimeuona uso wako, kwamba bado uko hai
Hapa "uso" ina maana ya mtu mzima. Yakobo anaonyesha furaha ya kumuona Yusufu. "kwa maana nimekuona ukiwa hai tena"