# kuonesha njia mbele yake kwenda Gosheni "kuwaonyesha njia ya kuelekea Gosheni" # Yusufu akaandaa kibandawazi chake na akaenda Hapa "Yusufu" ina maana ya watumishi wake. "Watumishi wa Yusufu waliaanda kibandawazi chake na Yusufu akenda juu" # akaenda kukutana na baba yake Israeli Msemo wa "kwenda juu" unatumika kwa sababu Yusufu anasafiri kwenye kwenye mwinuko kukutana na baba yake" "akaenda kukutana na baba yake" # akaikumbatia shingo yake, na akalia shingoni mwake kwa muda mrefu "akaweka mikono yake kumzunguka baba yake, na kulia kwa muda mrefu" # Basi na nife sasa "Sasa nipo tayari kufa" au "Sasa nitakufa na furaha" # kwa kuwa nimeuona uso wako, kwamba bado uko hai Hapa "uso" ina maana ya mtu mzima. Yakobo anaonyesha furaha ya kumuona Yusufu. "kwa maana nimekuona ukiwa hai tena"