sw_tn/gen/43/26.md

8 lines
213 B
Markdown

# wakaleta nyumbani zawadi iliyokuwa mikononi mwao
Hapa "mikononi" ina maana ya mtu mzima. "ndugu hawa walileta zawadi ambazo walikuwa nazo"
# wakainama mbele yake
Hii ni njia ya kuonyesha heshima na taadhima.