# wakaleta nyumbani zawadi iliyokuwa mikononi mwao Hapa "mikononi" ina maana ya mtu mzima. "ndugu hawa walileta zawadi ambazo walikuwa nazo" # wakainama mbele yake Hii ni njia ya kuonyesha heshima na taadhima.